TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Tunasahau kifo kwakuwa makaburi yanapendeza

Rest in peace ndugu yetu.
 
MMungu amrehemu mja wake.Awape faraja familia , ndugu, jamaa na hata sisi rafiki zake wa kimya kimya!
Kifo jamani...
 
R.I.P mkuu.Wote tupo safari moja.Tangulia mkuu.Poleni sana wafiwa.
 
Yupo member humu kafariki wiki mbili zimepita.. ... ...nasikitika sijui jina analotumia humu...ila yumo! Mazishi yake yalifanyika Buguruni hapo Dar!
 
Raha ya milele umpe we Bwana ,na mwanga was milele umwangazie apumzike kwa amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…