TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,005
Reaction score
20,425
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

 
Ooohh... sad news...!!! this is bad...!!!

Kamanda Mungu amlaze mahala pema peponi...Amen..!!!
 
Sisi ni waja wa MOLA na kwake tutarejea ! Hii taarifa bado siiamini
 
R.I.P. Kamanda. Daima tutakumbuka kama mpambanaji imara na hodari. Peoples Power!
 
Inna lilah wainna ilayhi rajiun, sisi sote ni wa allah sw na sote titakuwa ni wenye kurejea kwake
 
Hapana sitaki kuamini hizi habari alikuwa mbunge mtarajiwa
 
Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…