TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

condolences kamanda mtoi,s family, ni pigo kwa wanamabadiliko.
 
I hate news like this... inauma sana..!!

I feel deep pain... aaaaaiiii...🙆🙆🙆🙆

Mungu akulaze pema peponi kamanda Mtoi...

You will be in our hearts forever...!!!

Aluta continua...!!!!
 
Lala mahali Pema mungu alitoa na mungu ametwaa. Jina lake liabudiwe
Amen
 
Dah! Naipa pole familia ya marehemu na wanamabadiliko kwa ujumla!
 
12003991_864828176927909_9171967859066454694_n.jpg


WanaJF,

Kuna taarifa nimepokea kutoka Lushoto kuwa kuna ajali ya gari imetokea usiku huu ikimuhusisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, jimbo la Lushoto, Mohamed Mtoi na kuwa amefariki dunia katika ajali hiyo.
11934537_952899704767348_8606386427849193382_o.jpg


Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

======
Chini ni picha inayoonyesha ajali ilivyokuwa:

attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20150912-WA0036.jpg
    IMG-20150912-WA0036.jpg
    45.5 KB · Views: 40,971
hii habari ni ngumu sana kwangu, huyu jamaa .... dahhaaa, kweli tujiandae kila sekunde maana hatujui saa wala dakika... Mtoi??,,......... duuuhh, sometime nikiwazaga haya maisha yetu binadaamu hata sionagi maana yake....
 
Jamani tumepoteza bonge la mpiganaji yaani kama siamini kbs
 
Ooh no...

RIP Mohammed

Can't forget your energy and determination
 
asieeeee....nimesikitika sana....rip kamanda mtoi
 
Mohamed Mtoi huko ulikotangulia tuombee nasi tutakapokufuata tuje tukusimulie tuliyoyaona nchi ya ahadi bidii zako mwanamabadiriliko zitazaa matunda kaa pema salama milele amin
 
Back
Top Bottom