Tanzia
Mgombea ubunge wa CHADEMA jimbo la Lushoto Mohamed Mtoi amefariki dunia leo akiwa katika harakati za kampeni jimboni humo mara baada ya gari aliyokuwamo kupata ajari.
Mtoi pia alikuwa mratibu wa kanda maalumu CHADEMA taifa,
Mungu alitoa na sasa ametwaa,jina lake lihidimiwe,Rabuka akulaze pema peponi kamanda Mohamed Mtoi.
Nawapa pole wanaCHADEMA wowote popote pale walipo na watanzania kwa ujumla wake kwa msiba huu mkubwa kabisa.
Taarifa hii imethibitishwa na msemaji wa chama taifa kamanda Tumaini Makene
R.I.P
Mtoi
😭😭😪😪😪