R. I. P Mr. Mtoi, Mola alikuponya kwa tukio la bomu Arusha na kumwita moja ya Ndugu yako. Siku aliyoikadiria ilikuwa haijatimia na sasa ameamua kukuchukua ukiwa katika harakati za kujinadi na kuomba ridhaa ya Wana lushoto. Kwa hakika tutakukumbuka daima na Mola akufanyie wepesi Insha-Allah.