TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

CCM hao, wametuulia kamanda wetu mpendwa wetu. Tutakukumbuka sana kamanda Mohammed Mtoi hapa JF na kwenye tasnia ya habari kiujumla.
Ulikuwa kamanda waukweli RIP mwenzetu!!
 
Last edited by a moderator:
Kama namuona Aiseee...lushoto ni nyumbani jamani..namfahamu marehemu..dah..ngoja tumuachie Mungu..
 
so sad. pumzika kwa amani. aluta continua.
 
Kwa kweli inasikitisha sana kwa taifa kupoteza kijana hodari namna hii. Mungu ailaze mahali inapostahili roho yake.
 
Kwa bahati mbaya sana, akili yangu inaniambia kuna foul play imefanyika
 
Mzee lowasa na mbowe wamemtoa sadaka kwa mashetani ya Gwajima.
 
Ni haasara kunbwa sana kumpoteza kamanda hasa wakati huu wa mapambano,apumzishwe mahala panapostahili..
 
R. I. P Mr. Mtoi, Mola alikuponya kwa tukio la bomu Arusha na kumwita moja ya Ndugu yako. Siku aliyoikadiria ilikuwa haijatimia na sasa ameamua kukuchukua ukiwa katika harakati za kujinadi na kuomba ridhaa ya Wana lushoto. Kwa hakika tutakukumbuka daima na Mola akufanyie wepesi Insha-Allah.
 
Mwalimu mwenzangu na ndugu yangu Mohamedi Mtoi pumzika kwa amani hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.
 
Last edited by a moderator:
Nitaandika mengi siku nyingine leo ni kama siwezi hv. Bwana ametoa...
 
Back
Top Bottom