CCM hao, wametuulia kamanda wetu mpendwa wetu. Tutakukumbuka sana kamanda Mohammed Mtoi hapa JF na kwenye tasnia ya habari kiujumla.
Ulikuwa kamanda waukweli RIP mwenzetu!!
R. I. P Mr. Mtoi, Mola alikuponya kwa tukio la bomu Arusha na kumwita moja ya Ndugu yako. Siku aliyoikadiria ilikuwa haijatimia na sasa ameamua kukuchukua ukiwa katika harakati za kujinadi na kuomba ridhaa ya Wana lushoto. Kwa hakika tutakukumbuka daima na Mola akufanyie wepesi Insha-Allah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.