TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Kigogo na hii tusemeje ukilinganisha na ile ya Dogo Aslay
 
Last edited by a moderator:
Mungu amrehemu kamanda Mtoi,nakumbuka mapambano yake kwa kanda ya kaskazini
 
Inalilah waina illayhirajiuun, tumempoteza mtanzania mahiri na muhimu kwa taifa. Mungu amuweke pema.
 
R.I.P Bro hizi taarifa zimenishtua kuliko maelezo haya ninayotoa! duuuuu!
 
Bitter to swallow, but no Option! R.I.P Kamanda Mohamed Mtoi!
 
Kama kifo hiki ni majaliwa ya binadamu hakuna shida lakini kama ni kazi ya binadamu yeyote aliyehusika NATAMKA WAZI KABISA hatabaki salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…