TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Poleni sana ndugu zangu wa Lushoto kwa msiba huu mkubwa. Poleni sana Chadema. Ugoshe Wedi Umbuje!!!!
 
ni ngumu kuamini
Punzika kwa amani kamanda
Kukuenzi tutaendeleza mpambano wa kumngoa mkoloni mweusi
 
Rip mwana maguuzi.
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.



Mjinga kama wewe punguani kama wewe nikionaga post kama hii yako ungekuwa karibu yangu ingekuonyesha kilichomnyoa kanga manyoa ya shingo! Ginga sana IBRAHIM MGAYA
 
Last edited by a moderator:
RIP Mohammed Mtoi, tulibisgana sana humu mtandaoni.
Mungu aiweke roho yako mahali pema.
Bahati mbaya hujamwona Rais wa Hapa Kazi Tu, akichukua madaraka.
 
Pumzika salama M. Mtoi.
Chama na taifa vimepoteza kijana hodari.
 
January makamba, atajibu haya mbele za Mungu.
 
Hapana sitaki kuamini hizi habari alikuwa mbunge mtarajiwa

Ndiyo Chagueni Mwingine Haraka Haraka Kwani Muda Unaenda Na Hata Hao NEC Kwa Sasa Wapo Busy Na Sidhani Kama Watakuwa Na Muda Wa Kuwasikiliza Labda Tu Mjipange Kwa Chaguzi Ijayo Ya Mwaka 2020 Na Hapo Pia Kama UKAWA Na CHADEMA Zitakuwepo Kwani Nimepata Taarifa Kuwa Baada Tu Ya Uchaguzi Mkuu Kama UKAWA Mtashindwa Basi Umoja Wenu Huo Wa KINAFIKI Utavunjika Rasmi. Ila Sisi CCM Kama Kawaida Ni Mbele Kwa Mbele.
 
Acha upumbavu siku zote kifo hakina chama. Mwenzetu nanapotangulia hatuna budi kumuombea safari njema..
 
RIP Mtoi..
Kifo kweli kinatuweza.
 
Nimepokea kwa madikitiko makubwa kifo cha kamanda wetu... Mungu amweke pema.... ajali ilikuwaje (ufafanuzi jamani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…