TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Innalillah wainaillah rajiun!!!!
Duu ama kweli ukombozi wa nchi sii lelemama!ni safari ndefu na ngumu sana!
 
R.I.P. Kamanda wangu /ndugu yangu Mohamed Mtoi ,Mola na akutangulie..

Nimehuzunika sana kwa kweli nikimkumbuka huyu ndugu Yangu ,tupo nyuma yako mkuu na tutaendeleza Yale yote uliyotuachia kama msingi..
 
Mohamedi mungu anatambua mchango wako wa kupigania haki ya tanzania dhabu utaipata mbinguni mungu alitoa na mungu anetwaa jina lake libarikiwe
 
Ooh Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema...pia awape faraja wafiwa wotee.....poleni sanaa makamanda
 
soo sad, sasa nani atatutetea Lushoto? Au ndo mwanzo wa ccm kupita bila kupingwa?
 
R.I.P kamanda Generals too die at wars aluta continua A vitória é certa"
 
R.I.P Mtoi,umetangulia huku ukiwa bado unapigania unachokiamini!
 
Acha manbo ya ajabu kwa hiyo na waliokufa Morogoro kwenye mkutano wa Ccm ni kafara au?
 
Aiiiighhhhhhh.....Aiiiggghhhhhhhhh.....Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... Mtoi?????? Mtoiiii???????

Dah imeni-pain mpaka ndani kabisa ya moyo wangu daahh inaumiza sana. Allah ampe Pumziko la Amani Kamanda mpiganaji wa ukweli Mooooooooooooooo aiiighhhhhhhh

BACK TANGANYIKA
 
Innaa lillahi wa inna ilaihi raaji'uun. Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na hakika kwake tutarejea, hivyo tujiandae ipasavyo. Mwenyezi Mungu amsamehe ndugu MOHAMED MTOI, amrehemu na ampe makazi peponi, pia aifanye pana sehemu atakayoingizwa, aitie nuru na aifanye kuwa bustani miongoni mwa mabustani ya peponi, asiifanye kuwa shimo miongoni mwa mashimo ya motoni. Aamiyn, aamiyn, aamiyn.
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.
Mkuu nenda katoe maelezo kwenye uzi unaouliza kashfa ya Richmond imeisababishia serikali kiasi gani acha kutafutia watu ban.
 
Kamanda Umetoka Lakini Jina Lako Litaishi Milele Umefia Vitani Kamanda Daa Roho Inauma
 
RIP kamanda mwenzetu.
 

Attachments

  • IMG-20150913-WA0002.jpg
    IMG-20150913-WA0002.jpg
    52.6 KB · Views: 243
Back
Top Bottom