TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.

Unasemaje kuhusu wale waliofia uwanjani Morogoro katika kampeni za chama cha kijani?
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.


Tofauti za kisiasa zisitufikishe huko ulikofika ,aliefariki ni binadamu kama wewe na ametangulia tu na hatujui anaefuatia labda mimi au wewe omba sana msamaha kwa Mungu acha kuwachonganisha watu wake...

Mod please huyu mlimeni 'ban'kuweka heshima ya jukwaa hili...
 
Wacha ujinga wewe CCM inahusika je? Ni watu wangapi wamekufa? Ungekufa wewe basi
 
ina lilah wa ina ilayhi raji'oon ... Nimesikia nmeshindwa kuamini nkaja huku jf...

InshaAllah , mwenyezi Mungu amrehemu
 
Dah R.I.P kamanda inasikitisha sana hii. nimemjua kupitia jf. Poleni sana wafiwa
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.

Mwisho wako wa kufikiri, na wale mliowabeba kwenye malori wakafa, ni kazi ya nani:what: au ndio tujue maana ya jembe na nyundo:what:
 
Innaillahi Wa Innaillahi Rajiuun. Hakika sote ni wa Mola na kwake tutarejea.
 

Shetani we! Nahisi wewe sio mtanzania kabisa maana sisi watanzania tumeumbwa na utu na kwenye misiba vyama tunavua na kuwa wamoja. Au unalo jambo la kutueleza kuhusu kifo cha Mh. Mtoi? Yawezekana umeshiriki pahala
 
Jamani tumepoteza bonge la mpiganaji yaani kama siamini kbs

Hata Mimi Nimesikitika Na Nimeumia Kweli Kufa Kwa Huyu Jamaa Kwani Kiukweli Kapunguza Idadi Ya Kura Zenu Chache Ambazo Pengine UKAWA Mngezipata. Nimepokea Taarifa Hii Kwa Mshtuko Mkubwa Sana. Naomba Kuuliza Hivi Ktk Kampeni Za Uchaguzi Haya Mambo Ya KUDONDOSHANA Kwa Kutoa KAFARA Za Ushindi Wa Kiti Cha Urais Nayo Huwa Yapo? RIP Kamanda Na Hakika Pengo Lako Halitazibika Kwani Hata ILANI Yenyewe Tu Ni Ya Kuunga Unga Na Hakika Umetuachia Mzigo Mkubwa Sana MAKAMANDA WAPAMBANAJI.
 
Inasemekana hii ndiyo ajali ya gari iliyosababisha KIFO na kuondoa uhai wa Kamanda Mohamed Mtoi huko Lushoto - Tanga.

 
@Mods mngeufuta huu uzi,maana upo ule mwingne...pia taarifa zilizotolewa hapa sio sahihi kuwa na roma alikuwepo
 

Akili zimekutimia kweli wewe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…