Mount Kibo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 1,956
- 553
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES:
Kwa kawaida Ocampo four ndiye anayemiliki akaunti hii ya Lowasa. Ndo maana ni yeye tu anayeanzisha mada kama hizi humu jf. Alianzisha mada kuhusu Lowasa kutoa salamu za pongezi kwa Mufti mpya
Kwa kawaida Ocampo four ndiye anayemiliki akaunti hii ya Lowasa. Ndo maana ni yeye tu anayeanzisha mada kama hizi humu jf. Alianzisha mada kuhusu Lowasa kutoa salamu za pongezi kwa Mufti mpya
Huyu jamaa anacheza na akili za malofa wake mbona wangwe alikufa hatukuona akitoa salam za pole au kisa alikuwepo sisiem????Leo nimeamini mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda