TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Oooh God.Mwenyezi Mungu amrehemu mja wake apumzike kwa Amani.Mungu ni muweza wa yote.
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia

WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.

Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.

========
UPDATES:

Kwanini wema hawana maisha marefu? Kwanini kuna vitu vina maumivu kiasi hiki? Mtoi kosa lake nini? Kalala kwa amani lakini katuachia majonzi yasiyofutika... Death is just a state not a process
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi...

Amen!...
 
Attachments

  • 1442173154848.jpg
    1442173154848.jpg
    56.8 KB · Views: 2,136
Hivi huyu fisadi kumbe ata kuandika hajui... Inabidi arudi shule.

Tumuone kwenye mazishi asilete porojo.
 
Rest in peace Mohamed Mtoi. Hakika jina lako litaingia katika historia ya ukombozi wa pili wa Taifa letu na kamwe hautasahaulika.
 
pumzika kwa amani kamanda tutakuenzi kwakupigania ulichokiamini.
 
Kwa kawaida Ocampo four ndiye anayemiliki akaunti hii ya Lowasa. Ndo maana ni yeye tu anayeanzisha mada kama hizi humu jf. Alianzisha mada kuhusu Lowasa kutoa salamu za pongezi kwa Mufti mpya
 
Huyu jamaa anacheza na akili za malofa wake mbona wangwe alikufa hatukuona akitoa salam za pole au kisa alikuwepo sisiem????Leo nimeamini mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda
 
Kwa kawaida Ocampo four ndiye anayemiliki akaunti hii ya Lowasa. Ndo maana ni yeye tu anayeanzisha mada kama hizi humu jf. Alianzisha mada kuhusu Lowasa kutoa salamu za pongezi kwa Mufti mpya

Kwahiyo.....tufanyeje?
 
Yaani eti kwa sababu yeye ndie anayeanzisha mada kutoka kwenye account za Lowassa, basi automatically anamiliki hiyo account ! Logic ya wapi hiyo !?...

Mimi kuna wakati nilikuwa naanzisha mada za polepole (kabla hajawa m-pumba-vu - na hii ni kwa sababu nilikuwa namfuatilia facebook)......Ina maana na mimi nilikuwa namiliki account ya polepole ?!

Kwa kawaida Ocampo four ndiye anayemiliki akaunti hii ya Lowasa. Ndo maana ni yeye tu anayeanzisha mada kama hizi humu jf. Alianzisha mada kuhusu Lowasa kutoa salamu za pongezi kwa Mufti mpya
 
Kifo cha Mohamed Mtoi kimenihudhunisha sana , tunapoteza vijana wanamageuzi wenye kutaka kuleta mabadiliko ya kweli. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
 
Sad news! huu msiba umeniuma sana! tumempoteza kamanda wa kweli wana CDM na UKAWA kwa ujumla! RIP MM
 
Back
Top Bottom