TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Huyu jamaa anacheza na akili za malofa wake mbona wangwe alikufa hatukuona akitoa salam za pole au kisa alikuwepo sisiem????Leo nimeamini mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda

Hebu muogope Mungu, watu wanaomboleza unaleta dhihaka! Kuna msemo unasema "kama huns kitu kizuri cha kuongea usiongee kabisa" kama huwezi kutoa pole ukapita basi ni vyema upite tu.
Copy kwa wote wenye tabia kama hii
 
Mtoi nitakukumbuka sana! Kuna siku ulinishauri kuachana na CCM, Nikakutukana! Ila sasa hivi nakumbuka sana maneno yako! Ila ninachoshukuru Mungu hivi sasa siko tena CCM.

Lala salama MTOI, umetangulia mbele ya haki, ila maono yako yataishi milele!

Wakristo tunaaamini kuwa baada ya maisha haya ya duniani kuna maisha mengine, ambayo yatatukutanisha sote!

Naamini tutakutana tena baada ya maisha yetu hapa Jamii forums!

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

Nakulilia Kamanda Mohamed Mtoi! - sasa hivi nakumbuka sana maneno yako! Ila ninachoshukuru Mungu hivi sasa siko tena CCM. - Nimeguswa sana na maneno yako Mussa Allan. Naomba unisamehe kwa mengi ya kudhihaki niliyoyandika juu yako. Karibu sasa katika kundi la wapambanaji.
 
Habari mbaya sana kumpoteza kamanda mpambanaji wa Ukweli. Naona kama ni ndiyo vile. Ukawa, Chadema na wana familia poleni sana and RIP kamanda Mtoi.
 
Ni kweli tunaomba wagombea bila kujali vyama wasiendeshe magari wenyewe ...hizi kampeni ni ngumu ...HATA mkiona Mtu anaishiwa nguvu Kama ilivyowahi kutokea HUKO nyuma Sio jambo la ajabu..
Kikubwa ni Ile Hali ya Mwili tu kuchoka

Alikuwa anaendeshwa na dereva katoka mzima kakimbia na kuna mtu mwingine mahututi hospitalini.
 
Hakika jimbo la Lushoto lilikuwa lako KAMANDA Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi,R.I.P Brother Mohammed Mtoi -gone to soon
 
If we must die, let us die nobly, not like pigs. Mtoi have died a noble death, in field fighting.. . his death is not that one Dr Mihogo and his colleague le profesele will face. Theirs will be like pigs.
 
Kwakweli inauma xana! Nitakukumbuka sana kamanda! Mapambano hayatasimama! dunia tunapita hii n vuta nkuvute! mpaka tuitwae nchi hapo october!
 
Unaweza kujiuliza kwnn Mungu anaruhusu haya kutokea hasa ktk kiipindi hiki. Naamini ungeleta ushindani mkubea ktk jimbo. Mungu akulaze mahaali pema Mtoi.
 
Ushindi upo Ila lazy ya mungu atuwezi ingilia .mungu akulaze peponiamina
 
If we must die, let us die nobly, not like pigs. Mtoi have died a noble death, in field fighting.. . his death is not that one Dr Mihogo and his colleague le profesele will face. Theirs will be like pigs.

Aaaameeen!!
 
Duu! ni ngumu kuikubali tarifa hii! ila mapenzi ya Mungu yatimizwe! tuwafariji wafiwa hasa familia wawe na moyo wa uvumilivu. taifa limepoteza mtu muhimu sana kiongozi mwenye maono na mtizamo mpana.
 
Bado nashindwa kuamini kama nikweli hii ni habari mbaya sana kwa kweli cant stop crying ,
Pumzika kwa amani Mohamed Mtoi .
Moyo wangu unalia na kuumia kwa uchungu mzito:crying::crying::crying:
 
Hii taarifa imenisikitisha sana,Poleni sana wafiwa na wote wapenda mabadiliko kwa kumpoteza mtu muhimu katika nchi hii hasa kipindi hiki tunapoelekea kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi katika nchi.Mwenyezi MUNGU akupokee na akupumzishe mahali pema Mohamed Mtoi!amina
 
Poleni ndugu,marafiki,makamanda.Mungu wa neema awatie nguvu na kuwa faraja ya kweli
 
Back
Top Bottom