Huyu jamaa anacheza na akili za malofa wake mbona wangwe alikufa hatukuona akitoa salam za pole au kisa alikuwepo sisiem????Leo nimeamini mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda
Mtoi nitakukumbuka sana! Kuna siku ulinishauri kuachana na CCM, Nikakutukana! Ila sasa hivi nakumbuka sana maneno yako! Ila ninachoshukuru Mungu hivi sasa siko tena CCM.
Lala salama MTOI, umetangulia mbele ya haki, ila maono yako yataishi milele!
Wakristo tunaaamini kuwa baada ya maisha haya ya duniani kuna maisha mengine, ambayo yatatukutanisha sote!
Naamini tutakutana tena baada ya maisha yetu hapa Jamii forums!
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Ni kweli tunaomba wagombea bila kujali vyama wasiendeshe magari wenyewe ...hizi kampeni ni ngumu ...HATA mkiona Mtu anaishiwa nguvu Kama ilivyowahi kutokea HUKO nyuma Sio jambo la ajabu..
Kikubwa ni Ile Hali ya Mwili tu kuchoka
If we must die, let us die nobly, not like pigs. Mtoi have died a noble death, in field fighting.. . his death is not that one Dr Mihogo and his colleague le profesele will face. Theirs will be like pigs.