TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Ina Lilahi Waina Ilaihi Rajiuun. Allah awapae subra familia yake na amlaze mahala pema pepononi. Amin
 
Jamani hivi hii ina maanisha Mtoi sintamwona wala kuona comment yake?
Asante Mungu: Maana ww humpiga anayekung'unikia (Refer to NUMBERS)
 
Mtoi... kamanda jemedari... ulale salama kamanda. Umeondoka wakati tunakuhitaji zaidi. Kapumzike baba kazi uliyoifanya itaendelezwa mpaka kieleweke. Tutakukumbuka daima.
 
R.I.P Kamanda Mohamed, Inna lillahi wainna ilayhi raajiun, Poleni sana familia ya marehemu, ndugu , jamaa, marafiki, wana UKAWA, Jf members na wote walioguswa na msiba huu mzito..Mungu akusamehe madhambi yako na akuweke mahali pema. AMIN.
 
rip kamanda mtoi, shujaa uliyetimiza wajibu wako katika harakati za kuleta mabadiliko ya watanzania. Mola aipokee roho yako Amen
 
Umeondoka mapema mno wakati wapenda mabadiliko wakiwa bado wanahitaji makamanda kama wewe!
Upumzike kwa amani mwana mwema wa Tanganyika!
 
Nenda, kamanda nenda. Tangulia,sisi twaja. Msalimie Julius Nyerere,mwambie utabiri wako unatimia. C.C.M kimemeguka,wananchi wameamua kusaka mabadiliko nje ya CCM.
 
Back
Top Bottom