Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Yericko unasemaje?
Hivi una akili timamu?
inaumiza Sana
..umesema kweli kabisa.
..yaani huyu dogo alikuwa kijana mtulivu ktk mijadala, na tena msikivu. nilimpenda kama mdogo wangu.
..kila nikimtumia ujumbe alikuwa mwepesi kujibu. ukimuuliza maswali mwepesi kuyajibu. tukimrushia maduku-duku yetu kuhusu chadema hakusita kutujibu tena kwa uungwana wa hali ya juu.
..lakini nisichokisahau ni kila ujumbe wake alionitumia, alimaliza na maneno, KILA JEMA NA LENYE KHERI LISIKUPONYOKE.
cc Nguruvi3, lusungo, Jasusi
Hapana sitaki kuamini hizi habari alikuwa mbunge mtarajiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Iasikitisha sana wanaume wazuri wanakufa yanabaki mashetani
Iasikitisha sana wanaume wazuri wanakufa yanabaki mashetani
Hakuna mamlaka itakayokwambia ukweli, lakini tulishajiongeza.... Hapakuwa na shaka jamaa angeshinda aisee.Jamaa alikuwa mtu poa sana na alikuwa ashinde uchaguzi ule. Si ajabu kulikuwa na mkono wa watu wasiojulikana kwenye ajali yake.
Mdau wa Terranova.... SexerNakumis kamandaView attachment 743926
RiP..Dah!!
..siamini kama imepita miaka mitano.
..Rest in Peace Mohamedi Mtoi.