Mtoi... kamanda jemedari... ulale salama kamanda. Umeondoka wakati tunakuhitaji zaidi. Kapumzike baba kazi uliyoifanya itaendelezwa mpaka kieleweke. Tutakukumbuka daima.
R.I.P Kamanda Mohamed, Inna lillahi wainna ilayhi raajiun, Poleni sana familia ya marehemu, ndugu , jamaa, marafiki, wana UKAWA, Jf members na wote walioguswa na msiba huu mzito..Mungu akusamehe madhambi yako na akuweke mahali pema. AMIN.
Nenda, kamanda nenda. Tangulia,sisi twaja. Msalimie Julius Nyerere,mwambie utabiri wako unatimia. C.C.M kimemeguka,wananchi wameamua kusaka mabadiliko nje ya CCM.