TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

OMG, hii habari imenisikitisha sana, poleni sana wanafamilia, pumzika kwa amani Kamanda, umeondoka wakati unahitajika zaidi. kwa kweli ya Mungu mengi.
 

Oooh!
Mgosi hayupo tena,
 
Last edited by a moderator:
Wakuu, toka Leo kukuche nikiwa hapa home town MWANZA huku kukiwa na mvua za hapa na pale, feelings zangu ziko deep sana kumuwaza kanda Mtoi. Kwa kweli hii Leo nimemmis kwa dharura.
Alazwe pema peponi KAMANDA.
 
Jamaa alikuwa mtu poa sana na alikuwa ashinde uchaguzi ule. Si ajabu kulikuwa na mkono wa watu wasiojulikana kwenye ajali yake.
Hakuna mamlaka itakayokwambia ukweli, lakini tulishajiongeza.... Hapakuwa na shaka jamaa angeshinda aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…