Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.
Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.
Taarifa za hivi punde nikuwa kamanda Mohamedi Mtoi amepata ajali na kufariki dunia
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.
========
UPDATES:
Huyu jamaa nilimuona kigoma mwezi April 2015 mwanga centre , alitoa hotuba kali sana juu ya maadili na watu kufuata sheria walizojiwekea katika chama, hasa akirefer sakata la zitto, waha wale na ubishi wao but walimkubali sana huyu jamaa, alikuwa akiongea taratibu na kwa msisitizo sana.. na kufafanua sakata zima, watu walielewa sanaa.. Baadhi yao walikiri wazi kabisa kuwa chadema inajua kupika vijana pamoja na kujenga hoja,, baada ya yeye kumaliza alifuata Salumu Mwalimu, hawa jamaaa waliacha gumzo kigoma.. duuh M. Mtoi kawa mavumbi?? M. Mtoi haoingei? Siamini kabisa...
Ficha Upumbavu wako mkuu....Usiifiche Hekima yakoKafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.
Inna Li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Inasikitisha sana, jana tu nimetoka kumuulizia humu JF. Nilikuwa sijamsikia siku nyingi na siku zote nikimwambia aachane na hao akina Mbowe.
Allah amsameh, amghufirie na amlaze pema peponi.
Wafiwa wote poleni sana tena sana na wana JF wenzetu poleni sana.
Inasikitisha sana.
Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.
Acha upumbavu, unashindwa kumsema mgombea wa maccm ndio kamtoa kamanda Mtoi baada ya kuona amezidiwa, analikosa jimbo ndio katumia nguvu za giza. Ila mkumbuke ww ulietoa uhai wa mtu asie na kosa kisa ubunge. Itakurudia mwenyewe.
Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA MPAKA TAREHE 25/10/15 HATURUDI NYUMA. Mungu ibariki Chadema/Mungu ibariki Ukawa
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Apumzike kwa amani ndugu mtoi
CCM MBELE KWA MBELE