TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

So SAD and SHOCKING news
kumpoteza mpiganaji mahiri katikati ya Vita...
RIP Mtoi Sheng'ombe
Utaandikwa kumbukumbu zako daima
 
Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.

Heri yako wewe utakaye ishi milele hongera sana...


Acha sisi wenye ubinadamu tuendelee kuhudhunika...

Pumzika kwa amani kamanda mtoi...Sio Lushoto tu wanahuzunika ila ni wapenda maendeleo kwa hili taifa tunahuzunika.
 
Nimepokea taarifa hizi kwa masikitiko makubwa! Poleni sana wafiwa, WanaCHADEMA pamoja na JF Members. Innallilah wainna ilayhi rajiuun.
 
R.i.p. Kamanda...aaarghh let me cry first

.
Iiiioooooo....!!!
Aaaaaaiiooo!!!





--ok,fine its over now mapambano ndiyo kwaanza yata noga maana nife mimi afe wewe ama nani alimradi edward lowassa yupo na anaenda kuapishwa 25/10/2015....




R.i.p kamanda...
.
.
.
.
 
Innalilah waynalilah rajiun. Imeniuma sana, duh.🙏
 
Mtoi noooo,ni mapema mno kamanda wangu,ooooh my lord,my God,amka kamanda bado tunakuhitaji,bado hakijaeleweka kamanda.Uso wa bwana ukuangazie kiongozi
 
Dahhh hata usingizi umekata, kila nikiwaza thamani ya haya maisha duuuhhh...Mungu mpokee kiumbe wako, Mlaze apumzike kwa amani...
 
Pumzika kwa amani kamanda. Pole kwa familia, wakaazi wa Lushoto na makamanda wote.
 
Ni mstuko na simanzi kubwa kumpoteza rafiki na Mzalendo mwenzetu.
Kumbukumbu yake ikae vifuani kwetu, tumuenzi kwa kuthamini mambo mema aliyotuachia.

Poleni sana ndugu, jamaa na rafiki wa marehemu.

Poleni JF members
 
Kafali za mafisadi zimeanza mliwapokea mkidhani ni watu wa maana mtaona moto wake.

Acha upumbavu, unashindwa kumsema mgombea wa maccm ndio kamtoa kamanda Mtoi baada ya kuona amezidiwa, analikosa jimbo ndio katumia nguvu za giza. Ila mkumbuke ww ulietoa uhai wa mtu asie na kosa kisa ubunge. Itakurudia mwenyewe.

Mungu Ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina.
MAPAMBANO BADO YANAENDELEA MPAKA TAREHE 25/10/15 HATURUDI NYUMA. Mungu ibariki Chadema/Mungu ibariki Ukawa
 
Back
Top Bottom