TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Dah Poleni Wenzetu Wanachadema Kwa Msiba Uliowafika.Kama Mwanaccm Nawapa Pole Wote...Bwana Ametoa Bwana Ametwaa....
 
kwa nni kipindi hiki? so sad! Taifa limempoteza mwanaharakati wa kweli katka kipindi kigumu na muhimu katika ukombozi wa taifa letu! R.I.P Mpiganaji M. Mtoi
 
So sad! Mungu akulaze pema Mohamedi Mtoi!

Poleni sana familia yake na wote walioguswa!

Duu ina sikitisha sana...
 
Last edited by a moderator:
Mungu amlaze mahali pema hakika umetutoka ktk kpind kigumu cha mapambano dhd ya mfumo dume nchini ...!!! R.I.P
 
Kila nafsi itaonja mauti, ndg umetangulia nasi njia yetu ni hiyohiyo.
Tangulia kwa amani
 
Mungu wangu wazima wanakufa wagonjwa kama lowassa bado wanadunda
 
Mhmn!! Kama ni kweli apumzike kwa amani,kama ni siasa basi CCM hawana utu hata chembe maana tumeyaona mauaji yameshaanza kutekelezwa Mara huko kwa Wapinzani!!

Jaribu kutumia Bundle lako vyema kuilinda Amani,
 
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un ni mipango ya mungu lkn imeniuma san
 
Inafika mahali unashindwa kupata jibu la maisha ni nini kwa MUNGU hasa unapoondokewa na mtu ambaye ni kama sehemu ya maisha yako.

Pumzika kaka. Hakika MUNGU amevuna zao lake lililo bora hasa!

Poleni ndugu jamaa na Marafiki.
Pumzika salama Mtoi.
 
1442092402143.jpg
 
mmmm!!! Mungu ampuzishe kamanda mahari pema peponi Amen!! kwani ni ngumu kuamini ila yatupasa kuamini.
 
Kwa kweli nimesikitishwa sana na kifo cha kamanda,alikuwa bado kijana na nguvu ya kulitumikia taifa,rest in peace M mtoi
 
Back
Top Bottom