TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Hivi ni kweli? Hii dunia mbona ina dhambi kiasi hiki?? RIP Mkuu! Inauma mno! why Mtoi? Why?
 
Tangu nimezipata taarifa hizi usingizi umekuwa wa mang'amung'amu, never met this guy physically but nimewasiliana nae several times in these social platforms.Ameniuma sana mohamed Mtoi Kanyawana
 
Last edited by a moderator:
Ni msiba mkubwa kwa wapenda mabadiliko wote nchini. Poleni sana familia yake maana pengo halizibiki kabisana. Poleni pia CDM na ukawa watu wa aina ya Mtoi ni wachache sana (refer masaliti).Pole sana Tanzania, maana tumepoteza mzalendo wa kweli.
Mungu ailaze roho yake mbinguni. Amina
 
Mmmmhh kazi ya mungu haina makosa ..kalale pema pepon amen
 
I know the guy, he was really a philanthropist! 1 bright morning in a twilight rays we'll meet again!
 
pumzika kwa amani kamanda,umeondoka pasipo kuona mapinduz ya uongozi yakifanyika ndani ya nchi yako ambayo ulikesha usiku na mchana kufanikiasha ukombozi wa kweli. R I P kamanda mohamed mtoi
 
Unbeleivable. .ee wafariji familia liyo back...tutakukumbuka mtoi kwa kaz uliyofanyia taifa hili
 
pumzika kwa amani kamanda na sisi tulio baki nijukumu letu kuendeleza mapambano hadi mwisho Ushindi ni lazima tena Asubuh tyuuuu
 
RIP kamanda Mtoi, umepoteza maisha katika mapambano ya ukombozi wa Taifa lako.
 
Poleni sana wana mabadiliko.vita vimepamba moto tuuweke mwili pembeni tusonge mbele.kisheria jimbo litabaki bila mgombea?
 
Pole wana ukawa wote Umeondoka katikati ya mapambano.
Mungu anajuwa ni kwa nini.
Pumzika kamanda.
 
Back
Top Bottom