Tangu nimezipata taarifa hizi usingizi umekuwa wa mang'amung'amu, never met this guy physically but nimewasiliana nae several times in these social platforms.Ameniuma sana mohamed Mtoi Kanyawana
Ni msiba mkubwa kwa wapenda mabadiliko wote nchini. Poleni sana familia yake maana pengo halizibiki kabisana. Poleni pia CDM na ukawa watu wa aina ya Mtoi ni wachache sana (refer masaliti).Pole sana Tanzania, maana tumepoteza mzalendo wa kweli.
Mungu ailaze roho yake mbinguni. Amina
pumzika kwa amani kamanda,umeondoka pasipo kuona mapinduz ya uongozi yakifanyika ndani ya nchi yako ambayo ulikesha usiku na mchana kufanikiasha ukombozi wa kweli. R I P kamanda mohamed mtoi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.