TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Dah! Mtoi, R.I.P Bro. Nilitamani uyaone mabadiliko. Lakini kazi yake mola haina makosa.
 
Kamanda pumzika kwa amani, sisi tunaendelea na mapambano mpaka kieleweke
 
Ngumu kuamini!

Rest In Peace Mohamed Mtoi; hakika wewe utakumbukwa daima kwani ulisimama bila kutetereka na mchango wako ni mkubwa kwenye mageuzi.

Kiukweli am so hurt with this bad news. Familia Mungu mwenyewe awafariji katika muda huu mgumu!
 
R. I. P kamanda, naomba kjuzwa huwa replacement inaruhusiwa especially kw 7b nyet ka h kamanda kufariki?
 
Pumzika kwa Amani Mtoi.

Mchango wako kwenye Taifa hili utakumbukwa daima.

R.I.p kamanda hutasahaulika ndani ya mioyo yetu. Mungu akulaze pema peponi .

Imenisikitisha sana,ametutoka Mtoi!Mungu mrehemu marehemu

1442115609072.jpg1442115624133.jpg1442115639825.jpg1442115639825.jpg
 
Back
Top Bottom