TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

kwani huyu marehem alikua ni nani nchi hii kiasi cha kustahili hizo "sarakasi"??? au ndo utapata sifa ukionekana umelia sana msibani? acha ushambenga wee uharo

Futa hilo povu huko mdomoni kwanza. Hujui unachokiandika. Mtoi alikuwa kwenye kinyanganyiro cha kuwaania ubunge jimbo la lushoto.
 
Ni vya mwenyezi anavyovichukua na anavyotoa na kila hutokea kwa wakati wake. Tusiseme ila yanayomridhisha muumba. Tunamuomba mola amsamehe makosa yake na amuingize katika makazi mazuri. Poleni wafiwa
 
So sad kukupoteza kaka! Hakika sote ni wa Allah na kwake siku tutarejea.
 
I have never been pained like this RIP MM we shall meet one day
 
Kwa sisi wanaCHADEMA ndugu mohamed R.I.P alipambana na hoja za udini kuanzia jf hadi nje ya jf..tutakukumbuka daima kamanda..
 
Bro! Pumzika kwa amani na mwanga wa milele ukuangazie! Umeondoka ukiwa ktk harakati za kuwaletea mabadiliko wana Lushoto,tutakukumbuka Daima hapa Jf na ndugu zetu wanaLushoto,Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,amen
 

Nimesoma posts zake nyingi,,lakini hii imenisikitisha; AJALI hiyo lazima ichunguzwe: RIP Mtoi, I know you were prepared
 
Ni kweli tunaomba wagombea bila kujali vyama wasiendeshe magari wenyewe ...hizi kampeni ni ngumu ...HATA mkiona Mtu anaishiwa nguvu Kama ilivyowahi kutokea HUKO nyuma Sio jambo la ajabu..
Kikubwa ni Ile Hali ya Mwili tu kuchoka
 
Pigo kubwa kwa wanamabadiliko, so sad!!!

R.I.P KAMANDA MTOI
 
Pumzika kwa Amani kamanda Mohamedi Mtoi, na Mungu aipe faraja familia yako!
Mwana CCM ambaye uko humu, ambaye unashabikia jinsi wanaccm wenzio wanavyomdhihaki mh. Lowassa kwa sababu ya ugonjwa wake, ujifunze kwamba maswala ya afya na uzima ni Mungu tu ndio anajua, binadamu mwenye akili timamu hawezi kujivunia afya, maana afya na uzima ni neema tu kutoka kwa Mungu!, leo unashabikia dhihaka anayofanyiwa lowassa kesho baba yako au mama yako au Dada yako au kaka yako au wewe mwenyewe unakufa au unapata ajali na kua kilema!, tufanye siasa, maswala ya afya tumuachie Mungu!


Kijana Lowassa hadhihakiwi ni mgonjwa kweli.

Hapana, nisingempa kura yangu hata kama angegombea CCM

Sababu kubwa sana na ya muhimu ya kutokumchaguwa Lowassa na napenda kuwatanabahisha Watanzania kutomchaguwa ni la ugonjwa alionao, dhambi binadam anaweza kutubu, lakini hili la maradhi ni kubwa sana jisomee tatizo la ma-mvi:

AlhamduliLlah, mie mzima wa afya tele.

Ninakuombea na wewe uzima na afya.

Lowassa hali yake kiafya haimruhusu kabisa kuongoza hata nyumba kumi, wacha nchi.

Tuwache ushabiki wa kijinga, tunaongelea mtu anaetakiwa kuongoza watu zaidi ya million 45.

Isitoshe, kuna kuumwa magonjwa ambayo yanajulikana kabisa kuwa haya hayana madhara na hayahusishi uelewa na ufahamu wake, yanatibika na ya kupita tu, lakini kwa Lowassa, hebu jisomee hapa chini:

Medical diagnosis
Parkinson's often starts with a tremor in one hand. Other symptoms are slow movement, stiffness, and loss of balance.
People may experience:

Tremor:
can be postural, can occur at rest, in the hands, or limbs

Muscular:
difficulty standing, difficulty walking, difficulty with bodily movement, involuntary movements, muscle rigidity, muscle twitch, problems with coordination, slow bodily movement, stiff muscles, or slow shuffling gait

Cognitive:
amnesia, confusion in the evening hours, dementia, or difficulty thinking and understanding

Sleep:
daytime sleepiness, early awakening, nightmares, restless sleep, or sleep disturbances

Sensory:
distorted sense of smell, loss in contrast sensitivity, or loss of smell

Speech:
impaired voice, soft speech, or voice box spasms

Facial:
jaw stiffness or reduced facial expression

Urinary:
dribbling of urine or leaking of urine

Whole body:
dizziness, fatigue, or poor balance

Psychological:
anxiety or depression

Also common:
apathy, blank stare, constipation, difficulty swallowing, drooling, falling, fear of falling, neck tightness, restlessness, small handwriting, trembling, unintentional writhing, or weight loss

Bado tu tumpe Urais mtu namna hiyo? No. No. No.

Ukimchaguwa mtu mwenye ugonjwa kama wa Lowassa itakuwa hujitendei haki wewe mwenyewe na watoto zetu ambao hawajafikia umri wa kupiga kura - Kumbuka hilo.

Halafu wananishangaza zaidi CUF, kauli mbiu yao ni "haki sawa kwa wote" sasa kumchaguwa mgonjwa ni kutenda haki sawa kwa wote? - Wanazidhulumu nafsi zao na wale wanaowatagemea kuwa watafanya maumuzi sahihi, hususan watoto ambao hawajafikia umri wa kupiga kura.
 
Back
Top Bottom