Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Kama kuna taarifa kwanini usiombe kwenye thread husika unaamua kufungua yako? Kumbe kweli "kwanza elimu, pili elimu tatu elimu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu jamaa ni mpinzani wa Mtoi tangu zamani na alikua ana mtusi sana.....akili ku mkichwa.
Ni marehemu.
Ajali ya gari, wakati wakitokea ktk mkutano wa Campaign.
Ohh!!No.Kama ni kweli tupe taarifa kamili. Wapi na lini?
Kama kuna taarifa kwanini usiombe kwenye thread husika unaamua kufungua yako? Kumbe kweli "kwanza elimu, pili elimu tatu elimu"
Mkuu ajali ilitokea Lushoto jana ucku...
Na inategemewa kuzikwa mchana wa leo kwao.
Shut up... Ntambana wahedHabri za kwenu wakuu. Kuna taarifa nimeipata hapa juu ya kamanda mtoi. Ni taarifa ya kusikitisha. Naomba mwenye taarifa kamali juu ya tukio lililomfika aje hapa kuthibitisha.
Ohh!!No.Kama ni kweli tupe taarifa kamili. Wapi na lini?