TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Ni marehemu.
Ajali ya gari, wakati wakitokea ktk mkutano wa Campaign.
 
R.I.P Kamanda Mtoi Mungu alikupenda kuliko sisi.Lakini bado mapambano yanaendelea -ni tumaini letu wengine kuwa Familia ,ndugu na Wamageuzi wote pamoja na uchungu mkumbwa wa kumpoteza Kamanda bado watashikilia ulichokuwa unakipigania hadi dakika ya Mwisho ya uhai wako.
 
Hili ni Pigo kwa familia, wana Lushoto, CDM pamoja na Tanzania. RIP Mohamed....!!!!
 
Mkuu ajali ilitokea Lushoto jana ucku...
Na inategemewa kuzikwa mchana wa leo kwao.

Jamani! ! Apumzike kwa amani. Siku wa namfahamu ana kwa ana, ila kwa kusoma michango yake humu ilikuwa kama namjua. Poleni sana mlioguswa na msiba huu.
 
Habri za kwenu wakuu. Kuna taarifa nimeipata hapa juu ya kamanda mtoi. Ni taarifa ya kusikitisha. Naomba mwenye taarifa kamali juu ya tukio lililomfika aje hapa kuthibitisha.
Shut up... Ntambana wahed

Soma jf utakua details sio kuja kupoteza muda Wa watu
 
Sisi ni waja wa mola na hakika kwake tutarejea. R.I.P KAMANDA MTOI.
 
AYUBU 14:1-2

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa!. Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

-------------------------------------
-------------------------------------
AYUBU 14: 6-7
Kwa kuwa siku zake zimeamriwa, hesabu ya miezi yake unayo wewe, Nawe umemwekea mipaka yake asiyoweza kuipita:
Acha kumwangalia yeye, apate kupumzika, Hata atakapoitimiza siku yake, kama aliyeajiriwa.

Kwani yako matumaini ya mti ya kuwa ukikatwa utachipuka tena, Wala machipukizi yake hayatakoma.
----------------------------------------
 
Kivuli kitaendelea kuishi bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe Amina
 
Lala Salama Mohamed, ili kukuenzi, Jimbo la Lushoto litaenda CHADEMA, na nchi itachukuliwa na CHADEMA na UKAWA! Watoto wako uliowaacha, watasoma bure chini ya uongozi wa UKAWA.

Lala salama M.Mtoi tutatakukumbuka sana!
 
Back
Top Bottom