Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap.

Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
Huyo member ni
1764498782822.jpg
 
Hahaha Guys mnajua maana ya saini yako ndeeeefu kuwa kwenye noti nyie? Afu uwe waziri mkubwa wacha tukague uharibifu acheni taharuki
Guys Guys Guys 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom