TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

إنا لله وإنا إليه راجعون

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, kila nafsi itaonja umauti, hakuna atakaebakia isipokuwa Mwenyezi Mungu peke yake.

Bhujiku ng'waka!
 
Kutokana na sehemu alipotokea na vile mleta mada kaamua kumiheshimisha kwa neno TA basi ni wajibu wa sisi wachangiaji kujua jumla kuwa alikuwa ni mlangira
Lakini "Ta" siyo kiwakilishi cha Mlangira! Na siyo kila mwanaume ni Mlangira bali hiyo "Ta" ni salutation ya mwanaume mzee yeyote!
 
Dah, Rest well Muganyizi[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…