Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana wana familia na watu wa karibu wa marehemu. Mungu aiweke roho yake pema peponi.
Sasa wengine tukifa nani atajua maana hakuna naefahamiana nae humu.
Mkuu umewahi kuni qoute hahahPole sana. kikubwa uzima tu
pole.Leo ndiyo twamfahamu kwa sura.Wakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf
![]()
Ta Muganyizi
www.jamiiforums.com
View attachment 2340979
View attachment 2340980
M.Byabato
0754527358
Bukoba
Kutokana na sehemu alipotokea na vile mleta mada kaamua kumiheshimisha kwa neno TA basi ni wajibu wa sisi wachangiaji kujua jumla kuwa alikuwa ni mlangiraYeye hakuwa Omulangira jamani? Mbona haujaanza na hiyo salutation? Apumzike kwa amani!
Dah taarifa ya huzuni sana hiiWakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf
![]()
Ta Muganyizi
www.jamiiforums.com
View attachment 2340979
View attachment 2340980
M.Byabato
0754527358
Bukoba