TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

Hadi kufika 2040 JF kutajaa ID zilizoandikwa RIP. Inasikitisha ila ndio uhalisia..
RIP mate. On this life or the next ✌️
Thats quite normal,
Chukulia tu mtaani kwako ulikokulia , ukichukua watu waliofariki kwa miaka 20 iliyopita , halafu ufanye ndo wafufuke wawe hai , fikiri mtaa ungekuwaje.
 
Pole kwa familia,apumzike kwa amani mwana Jf mwemzetu.
R I P brother, tutakufuata
 
Inaniuma nikiona kijana mwenye nguvu ametangulia mbele ya haki.

Pumzika kwa amani
 
Poleni Sana... Mungu awatie moyo..

Mngeweka utaratbu wa kupokea rambi rambi ingefaa Sana kushikana mkono kwa wakati kama huu
 
Sote tunaelekea huko, hakuna haja ya kunung'unika.

Kuleni Walwa,Inzoga na Vinywaji vyenyr kutusahaulisha na TZ au kwa kirefu Tozo.
 
Pole kwa wana JF na pole kwa familia yake...
 
Wakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo

Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf

View attachment 2340979

View attachment 2340980


M.Byabato
0754527358
Bukoba
jamani poleni sana! Mr. byabato, basi wekeni wasifu wke basi. Kashasha napafahamu sana, Kanyinabushwa, Mbale huyooo Misenyi!
 
Back
Top Bottom