TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JF, Ta Muganyizi amefariki dunia

Najiuliza niki-rest in peace wana jf watajuaje? Au ofisini kwangu niwaambie ID yangu?
 
Muga's last seen ni 15th August. Pole kwa jf fraternity.....toeni michango sasa pole itasaidia nini. Acheni utani kabisa. Humu jf kumejaa unafiki na upuuzi mwingi. Nasema uongozi wa jf uwasiliane na namba hiyo then watoe utaratibu japo tutume chochote kitu. Tuache upuuzi....inachangiwa chadema sembuse msiba?
 
Pole sana kwa WanajamiiForums na familia kwa ujumla
 
Poleni sana Wana familia........siku hizi kumeongezeka sana vifo vya magonjwa yasiyo ambukiza...... serikali inabidi iliangalie hili kwa makini.....
 
Wakuu.
Mwanachama mwenzetu wa JF aitwaye Ta Muganyizi amefariki dunia na amezikwa katika kata ya Kashasha, tarafa ya Kiziba, wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa Figo

Hapa chini ni mojawapo ya michango yake hapa Jf

View attachment 2340979

View attachment 2340980


M.Byabato
0754527358
Bukoba
Fake ID inajulikana baada ya kifo

RIP kwake

Me nikiukata hata hawatajua ..Nani atatoa taarifa🤔 hata marafikii zangu wa fb na wasap groups nao hawatajua maana wengine hatujawahi onana watashangaa tu sipatikani

Simu nayo ilivo na password, Mara laini password ma puk haya ya lazima daa
 
Back
Top Bottom