TANZIA Mwanachama wa TLS Wakili Peter Elibariki afariki kwa kupigwa risasi na Polisi Oktoba 29, 2025

TANZIA Mwanachama wa TLS Wakili Peter Elibariki afariki kwa kupigwa risasi na Polisi Oktoba 29, 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kwa Masikitiko Makubwa tunapenda kuwataarifu kuhusu kifo cha Wakili Peter Elibariki Makundi (Roll No. 5937), mwanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Tawi la Ubungo, aliyefariki dunia kwa bahati mbaya siku ya Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025, baada ya kupigwa risasi katika eneo la Shekilango, karibu na Kituo cha Mafuta cha Total Petrol Station, wakati akirejea nyumbani baada ya kununua bidhaa.

Msiba na taratibu za mazishi zinaendelea Manispaa ya Morogoro, karibu na Shule ya Msingi Msufini.

Ibada ya kuaga mwili na Misa Takatifu ya kumuombea marehemu itafanyika kesho, tarehe 5 Novemba 2025, katika Kanisa la Calvary Assemblies of God, lililopo karibu na roundabout inayoelekea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA).

Bwana alitoa, Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe.
1762262247130.png


===========​
Dear Member,

We hope this email finds you in good health.

It is with deep sorrow that we inform you of the passing of ADVOCATE PETER ELIBARIKI MAKUNDI (Roll No. 5937) a member of the Tanganyika Law Society of Ubungo Chapter, who tragically passed away on Wednesday, 29th October 2025 , following a gunshot incident at Shekilango, near Total Petrol Station, while he was returning home after shopping.

Bereavement and funeral arrangements are currently being held at Morogoro Municipal near Msufini Primary School.

The final respects and Holy Mass in honor of the departed will be held tomorrow, 5th November 2025, at Calvary Assemblies of God, near the roundabout heading towards Sokoine University of Agriculture (SUA). The burial service will take place at Choza Magadu, within Morogoro Municipal .

Please find attached the detailed timetable of the burial services for your reference.

We kindly encourage you to attend the last respects and burial services in honor of our dearly departed colleague.

Advocates should attend dressed in Robes and Bibs.

MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN.

Regards,

|Tanganyika Law Society Secretariat
|Plot No. 391|Chato Street|Regent Estate
|P.O. Box 2148, Dar es Salaam, Tanzania; Tel: +255 222775313; E-mail: [email protected] | Follow us on Twitter: |Like us on facebook: |Website www.tls.or.tz
WE RESPOND TO ALL OFFICIAL EMAILS WITHIN 24 HOURS OF RECEIPT EXCEPT ON WEEKENDS AND PUBLIC HOLIDAYS. IF YOU DO NOT RECEIVE A REPLY TO YOUR EMAIL WITHIN THIS TIME FRAME PLEASE RE-SEND, FAX OR CALL U
 
Akipita Lucas Muwasha Mbwa kwenye thread kama hii anapita kimya kwa aibu, anahesabu saa 1 aanzishe thread ya kusifu na kuabudu. Nikizaa litoto likawa na tabia kama Lucas za kujipendekeza nalitoa kafara tu.
 
Watu wanatekwa utasikia wasiojulikana linakuja swala la walio andamana ohooo wale sio watanzania dah????Hivi tunaenda wapi kama taifa ...Mungu azilaze pema roho za marehemu ...ila hatumwachiii Mungu tena hu ujinga lazima na sisi tuwalipe
 
Back
Top Bottom