let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Kuna watu bhana! chagueni kunyamaza tu ikiwa huna cha kukomenti.Hebu ifike mahali tusikie hao police wamewajibishwa kwa huu ufara tumechoka kusikia mambo ya kuombeana marehemu hapa.
yaani kabisa unaomba polisi wawajibishwe,wawajibishwe na nani na kwa nani?.
Nyadhifa za usalama Tanzania zinapatikana kwa kuumiza na kuua watu.yule anayeua watu wengi ndiye anapata cheo na kuaminika kwa wenye nchi yao..sasa unataka polisi awajibishwe kwa aliyemtuma,uoni ni kupoteza muda?.