Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 Apr 9, 2021 #1 Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Apr 9, 2021 #2 ana akaunti hapa jf huwa anapost utumbo kweli sijui anajiita moodkabwe kama sikosei