Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Huyu kocha nyaraka zake zichunguzwe mapema.. Waziri wa mambo ya ndani kuna kitu kamtisha...Au anaishi nchini kinyemela?
 
Mwigulu Lameck Nchemba, mzee wa mikakati.

Yaani hata ukaaji wake ni wa kimachale na "ready for action"

Safi sana kamanda hii ndiyo maana ya kuwa waziri wa mambo ya ndani unahakikisha mambo ndani ya nchi hata michezo yanakuwa sawa .
 
Kila issues ya yanga anasolve mwigulu, sijui waziri nape anafanya kazi gani?? Utadhani sio wakimataifa aisee
 
Huyo mzambia imekuwaje tena??? Na mlisema kesha saini miaka miwili?? Au atakuwa msaidizi??
 
Kuna vitu vingi chini ya pazia, ngoja tuwe wapole, kuna wale waliotaka aondoke na hawa waliomrudisha hatujui hata walipotokea. Kuna ka harufu ka matumizi mabaya ya madaraka, clubs za mpira zina mamlaka yake na zinaongozwa kwa kanuni za mpira, je wale waliomleta Mzambia ndo walioomba suruhu na Hans? au kumrudisha Hans ni wazo la mheshimiwa kwa kufuata mawazo ya watu kwenye mitandao ya jamii? Kati ya mwenyekiti wa team na huyo Ag secretary general ni nani wa kumrudisha kocha???/
 
Hili ni fundisho kubwa kwa timu ya Yanga.
Professional Coach like Hans Van Pluijm hauwezi kumfanyia upuuzi kama walioufanya Yanga. Yani unafanya mazungumzo na kocha mwingine kuchukua nafasi yake wakati yeye yupo kazini...! '!!!?????That was a big insult to him!!! Ningewaona Yanga wana akili pale tu hizi habari zilivyovuja kuwa Lwandamina anakuja kufanya mazungumzo pale pale Yanga wange ita press conference na kukanusha na wangemzuia huyu mzambia kuja na kutafuta plan B ya ku meet nae.
Jamani Van Pluijm amewahi kuichezea timu ya Taifa ya Netherlands na ndie inasemekana alimuibua Ruud Van Nestelrooy.
Sio kocha mbabaishaji.
 
Michezo si siasa, michezo ni burudani, hutuunganisha kama watanzania hapo mh. Hajafanya siasa kaplay part yake kama mwanachama na ameweza kumshawishi kocha.... Mf. Sio 7k fc lakini ni shabiki wa yanga tukifungwa naumia kupitiliza....baadhi ya watanzania wamekuwa watu wa ajabu kila kitu ni siasa hata kama ni vitu vya msingi.
 
Acha uongo
 
Hili ni fundisho kubwa kwa timu ya Yanga.
Professional Coach like Hans Van Pluijm hauwezi kumfanyia upuuzi kama walioufanya Yanga. Yani unafanya mazungumzo na kocha mwingine kuchukua nafasi yake wakati yeye yupo kazini...! '!!!?????That was a big insult to him!!! Ningewaona Yanga wana akili pale tu hizi habari zilivyovuja kuwa Lwandamina anakuja kufanya mazungumzo pale pale Yanga wange ita press conference na kukanusha na wangemzuia huyu mzambia kuja na kutafuta plan B ya ku meet nae.
Jamani Van Pluijm amewahi kuichezea timu ya Taifa ya Netherlands na ndie inasemekana alimuibua Ruud Van Nestelrooy.
Sio kocha mbabaishaji.
Umesomea wapi hata kuandika haujui?
 
Nawaza tu...wanamtakia baraka ama watashirikiana naye?!!! Just beyond the content.
 
80c42e97ce41bae7064db38efb7ebe26.jpg
hichi Kiinglishi kwenye hii barua vipi wadau!

dah!!
 
Back
Top Bottom