wewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.Kwani tatizo nini!!
Anayo hali ya kushabikia michezo na klabu aipendayo
Hoji ni MBOWE mbona shabiki wa Yanga
Na alikuwa busy siku Yanga wanacheza na simba!!!!
hahahahahahahahahMizigo
Swissme
Kuwa waziri haimtoi kwenye kundi la kuonesha mapenzi kwenye club yake na kutoa msaada wa kimawazo pia ,sio kosa sababu hapa hajasimama kama waziri bali kasimama kama shabiki na mpenzi wa club ya yanga lakin pia kama shabiki na mpenzi wa mpira.Wadau naomba mnijuze hivi Mh.Mwigulu Mchemba ni Waziri wa Michezo au Mambo ya ndani?Nasema hivyo kutokanabna kujikita kwenye masuala ya Klabu ya Yanga zaidi.Anayejua anifahamishe.
Uko sawa kwa kiasi fulan lakin pia yeye kama waziri ana haki pia ya kuishi nje ya uwaziri wakewewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.
swissme
hatujakataa hoja zako lakini swala ni kwamba Mh mwigulu kaamua kufanya ofisi ya Waiziri Ulinzi kuwa ofisi ya Yanga. swala ni hilo tu jibuKuwa waziri haimtoi kwenye kundi la kuonesha mapenzi kwenye club yake na kutoa msaada wa kimawazo pia ,sio kosa sababu hapa hajasimama kama waziri bali kasimama kama shabiki na mpenzi wa club ya yanga lakin pia kama shabiki na mpenzi wa mpira.
ndio sawa kwanini kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga ?jibu hilo swaliUko sawa kwa kiasi fulan lakin pia yeye kama waziri ana haki pia ya kuishi nje ya uwaziri wake
Hivi yaraka za ofisi ya jagwani ya young african pamoja na watendaji wengine kumbe zimehamishiwa wizara ya ulinzi!? Sorry nilikuwa sijalijua hilo mkuu, lakin kama ni kuongea tuu hata rais huongelea siasa kanisani au msibani lakin haimaanishi kiuwa kanisa limekuwa ofisi za chama au uwanja wa siasa.ndio sawa kwanini kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga ?jibu hilo swali
swissme
Hivi yaraka za ofisi ya jagwani ya young african pamoja na watendaji wengine kumbe zimehamishiwa wizara ya ulinzi!? Sorry nilikuwa sijalijua hilo mkuu, lakin kama ni kuongea tuu hata rais huongelea siasa kanisani au msibani lakin haimaanishi kiuwa kanisa limekuwa ofisi za chama au uwanja wa siasa.
Mwigulu yuko sawandio sawa kwanini kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga ?jibu hilo swali
swissme