Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Mwanachama wa Yanga Mwigulu Nchema amrudisha Kocha Pluijm

Kwani tatizo nini!!
Anayo hali ya kushabikia michezo na klabu aipendayo

Hoji ni MBOWE mbona shabiki wa Yanga
Na alikuwa busy siku Yanga wanacheza na simba!!!!
wewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.

swissme
 
Wadau naomba mnijuze hivi Mh.Mwigulu Mchemba ni Waziri wa Michezo au Mambo ya ndani?Nasema hivyo kutokanabna kujikita kwenye masuala ya Klabu ya Yanga zaidi.Anayejua anifahamishe.
Kuwa waziri haimtoi kwenye kundi la kuonesha mapenzi kwenye club yake na kutoa msaada wa kimawazo pia ,sio kosa sababu hapa hajasimama kama waziri bali kasimama kama shabiki na mpenzi wa club ya yanga lakin pia kama shabiki na mpenzi wa mpira.
 
Swiss me kwenye michezo na hajaingia mkataba wowote hiyo haina madhara hata tunaona hata mbele huko waziri asiyehusika na michezo kuisaport timu fulani juzi tuu SA hapa waziri wa fedha aliungana na washabiki wa orlando maana yeye ni orlando fan kuisaport Sundown ilipocheza na Zamarek ni vile sports bongo sio sehemu nzuri ya kipato cha wengi wadhamini wajanjawajanja na viongozi TFF pia ila waziri yeyote anaweza akatia nguvu mchezo wowote ili kuunganisha jamii.,
 
Prof. Kapuya alikuwa waziri wa michezo au Elimu au Ulinzi?
 
wewe vipi huna Elimu tofautisha siku moja na jamaa mwingulu yeye kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga. whoever kuna matukio mengi ya hatari mf Panya road wizi wa slaa hapo ndipo utajua MSOMI NI NANI NA MWIZI WA MAJINA NI NANI taifa sijui linakwenda wapi.

swissme
Uko sawa kwa kiasi fulan lakin pia yeye kama waziri ana haki pia ya kuishi nje ya uwaziri wake
 
Kuwa waziri haimtoi kwenye kundi la kuonesha mapenzi kwenye club yake na kutoa msaada wa kimawazo pia ,sio kosa sababu hapa hajasimama kama waziri bali kasimama kama shabiki na mpenzi wa club ya yanga lakin pia kama shabiki na mpenzi wa mpira.
hatujakataa hoja zako lakini swala ni kwamba Mh mwigulu kaamua kufanya ofisi ya Waiziri Ulinzi kuwa ofisi ya Yanga. swala ni hilo tu jibu

swissme
 
Uko sawa kwa kiasi fulan lakin pia yeye kama waziri ana haki pia ya kuishi nje ya uwaziri wake
ndio sawa kwanini kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga ?jibu hilo swali

swissme
 
ndio sawa kwanini kafanya ofisi ya waiziri wa ULINZI kuwa ofisi ya Yanga ?jibu hilo swali

swissme
Hivi yaraka za ofisi ya jagwani ya young african pamoja na watendaji wengine kumbe zimehamishiwa wizara ya ulinzi!? Sorry nilikuwa sijalijua hilo mkuu, lakin kama ni kuongea tuu hata rais huongelea siasa kanisani au msibani lakin haimaanishi kiuwa kanisa limekuwa ofisi za chama au uwanja wa siasa.
 
Screenshot_2016-10-28-21-31-36.png

swissme
 
Kila kitu kina nafas yake ndan ya moyo wa kila mmoja. Akiwa serikalin atasimama kama serikal na hapa ksimama kama mwananch na mshibik wa yanga. Kama alivyokuwa anasimama kapuya rage hata nkamia kwa upande wa simba au ulikuwa bado mtoto kipind hicho
 
Uswahili tu acheni hizo bhanaa msilazimishe kila mtu kuwa upande mnaotaka nyie
 
Hivi na Amos Makala ni mkuu wa mkoa wa mbeya au kiongoz wa simba, maana simba walivyokuwa mbeya amewapokea, kawakaribisha kwake tangu wanafika mbeya hadi wanaondoka
 
Back
Top Bottom