Kalolo Junior
Member
- Oct 20, 2011
- 81
- 27
Ni kweli mkuu,nimeshuhudia maiti yake,ni 3rd year student,bsc nursing.ni majonzi chuo kizima.inatisha
tudadavulie basi kidogo mkuu lolni kweli mkuu,nimeshuhudia maiti yake,ni 3rd year student,bsc nursing.ni majonzi chuo kizima.inatisha
Ni kweli mkuu,nimeshuhudia maiti yake,ni 3rd year student,bsc nursing.ni majonzi chuo kizima.inatisha
Kuna hizi tetesi nimezipata muda si mrefu kuwa, kuna Mwanafunzi wa SJUT amebakwa na kufariki. Hii imekaaje wadau?
in this case better to be quite and say RIP only hujui maisha yalikuwaje na nini kilipelekeaPoleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.
My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto
RIP marehemu