Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

Kalolo Junior

Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
81
Reaction score
27
Kuna hizi tetesi nimezipata muda si mrefu kuwa, kuna Mwanafunzi wa SJUT amebakwa na kufariki. Hii imekaaje wadau?
 
Ni kweli mkuu,nimeshuhudia maiti yake,ni 3rd year student,bsc nursing.ni majonzi chuo kizima.inatisha
 
Sad news again,hao wabakaji hawajakamatwa tu?kabakwa kwenye mazingira gani?
 
Ilikuaje kaka hii kitu maana ni kimeo kaka yaani tumefikia huko kwenye haya tena jamani
 
Ni kweli mkuu,nimeshuhudia maiti yake,ni 3rd year student,bsc nursing.ni majonzi chuo kizima.inatisha

Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu
 
in this case better to be quite and say RIP only hujui maisha yalikuwaje na nini kilipelekea
 
Hii hutokana na mahusiano mabaya kati ya wanafunzi na wanajamii waliopo maeneo ya vyuoni,ni matokeo ya magomvi,wivu na chuki kati ya hayo makundi mawili.Uongoz wa vyuo wawe na program za ujirani mwema kati ya wanafunzi na jamii inayowazunguka kuepusha hali kama hiyo kutokea.
 
poleni sana! lakini angalieni sana mnaosoma someni! tunaokaa karibu nao hawana tofauti na UDOM na wanaweza wakawa juu.
 
ni kweli nimepata hizo taarifa na zimesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii saizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom