Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

Mwanachuo SJUT (Dodoma) abakwa na kukutwa na umauti

MWANACHUO AUWAWA

JESHI la polisi mkoani Dodoma limeshutumiwa kwa kushindwa kuimarisha ulinzi katika baadhi ya maeneo mkoani humo hatua inayodaiwa kuchangia kuaawa kinyama kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint John Lidya Leo Mzima na watu wasiojulikana. Marehemu Lidya mwenye umri wa miaka 57 anadaiwa kuuawa siku ya jumapili hii majira ya saa nne za usiku pembezoni mwa maeneo ya chuo hicho chenye wanafunzi 5500 akiwa anarejea nyumbani baada ya masomo ya jioni.

Ni simanzi,vilio,huzuni na majonzi katika vyunga vya chuo hiki kufuatia tukio hili la kusikitisha ambalo linadaiwa kuyaweka katika mashaka na wasiwasi mkubwa maisha ya wanafunzi hawa. Licha ya kulitupia lawama jeshi la polisi baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa baada ya kufikwa na mkasa huo uliositisha safari ya maisha yake mwili wa marehemu Lidya uliharibiwa vibaya na mnyama asiyejulikana kwa kunyofolewa macho,masikio,pua,mguu na viuno vingine.

Prof.Gabriel Mwaluko ni makamu mkuu wa Chuo na Karimu Meshack ni afisa habari ambao kwa pamoja wanaelezea kilichorjiri. Kutokana na shutuma za uzembe dhidi ya jeshi hilo Kamanda wa mkoa ACP David Misime anawataka wakazi wa mkoa huo kuimarisha ulinzi shirikishi kwa lengo la kuwabaini wahalifu. Wakati huo huo Kamanda Misime anasema msako mkali umeanza wa kuwatia nguvuni waliohusika na ukatili huo ili waweze kufikishwa kwenye mikono ya sheria kwa ajili ya hukumu.

CHANZO STAR TV

Rest In Peace mama Lydia Leo Mzima!
Tumechoka na serikali yetu dhaifu ambayo inashindwa hata kumpa ulinzi mwananchi wa kawaida.
Wakubwa wanalindwa masaa 24 wakati raia wa kawaida hana amani hata ya kutembea kwenye maeneo yanayoishi watu mchana, sembuse usiku? Kodi zetu wanazifisadi na kunenepesha matumbo yao tu!
Poleni sana wote mlioguswa na msiba huo!
 
Siyo mbaya kwani itasaidia wengine kujifunza na kuwa waangalifu wa afya zao..! Nina uhakika mazingira yake si sawa na yale ya madenti wa ifm waliolawitiwa huku wamewekea bastola kichwani..!

mkuu hapo tunamuongelea mama mtu mzima, na kabakwa den na kichwa kimekatwa!!!! vp una ndugu wa kike kwenu kweli???
 
bwana bujibuji nenda kachukue huyo wa jero jero,acheni kuwa chafua watu kwa kuwa wametulia
dodoma mjini kila demu anasoma udom hata yule wa la nne ukimuuliza utasikia anasoma udom HGE au PCB
 
mkuu hapo tunamuongelea mama mtu mzima, na kabakwa den na kichwa kimekatwa!!!! vp una ndugu wa kike kwenu kweli???
So sad, sasa dadafua kidogo, hao wabakaji walimpata pataje na ilikuwa mida gani?
 
Una uhakika ulikuwepo? Tusipende kuropoka, leo kwake kesho kwa mwanao.
Bwana mdogo si kwamba naropoka, I always hit the nail on top. This story is real sad lakini huwezi kutembea vichakani saa nne usiku peke yako eti kisa discussion..! I am just promoting self awareness si kwamba nafagilia ubakaji..! A very small mistake can cost u or me big time..!
 
....huenda pia alizinguana na mtu huwezi kujua bhana hivi visichana vyuoni siku hizi havieleweki hata kidogo.

kuzinguana na mtu ndiyo hupelekea hadi kutoa roho ya mwenzio?au ni ukatili uliopitiliza? R.I.P LIDYA
 
Nyie sio kila kitu mnawalaumu tu palisi nao watu unafikiri wanatakiwa wamlinde kila mtu mmoja mmoja wewe huo ulinzi umeuona nchi gani bana ,hiyo imetokea kama bahati mbaya tu.kitu kingine lazima mjiulize kwanini haya yanawatokea wanafunzi kwa sasa kuliko jamii zingine? kabla hamjaanza kuona kama wanafunzi wanaonewa!.kuna uwezekano wanafunzi wakiwa hapo chuoni wanajiona wanajua kuliko jamii zingine na kuleta mambo yasiofaa huku wakiwafanyia jamii zingine na labda ndio wanaamua kulipiza kimya kimya!! fanyeni utafiti tuone kwanini wana vyuo tu mara ngingi.
 
Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu
HUmjui mwanafunzi
hjujui mazingira ya tukio
hujui waliofanya hivyo
hujui chchote

tayari unakurupuka kama nzi wa chooni na kuanza kuweka mambo ya ukahaba kutia najisi marehemu, kibaya zaidi habari inaonyesha marehemu alikua 57 years of age (unless kuna makosa), You really need to up your attitude

You must be thinking you are a wise man

Poooooffffffffff
 
Rip Lydia. Tusituhumu mtu kama hatuna taarifa sahihi. Jana yeye sisi kesho. Hata kama angekuwa ni changu (kwa maelezo inaonekana sio) haina maana ndio abakwe wana haki ya ulinzi wa maisha yao kama watu wenvine
 
The highest command of the Law of God is;

You shall honour God as the ruler of the human races and follow His laws for he is the King of Wisdom.

We attain spiritual perfection by learning and wisely
following the laws put forth by God and The Creation. We learn through the Spirit of God Within us how to live in harmony and balance with all Creation.
Laws of God.
The eighteen laws are as follows.

1.You shall have no other Gods than the Creator God before you and abide with the laws of The Creation which encompasses all.
Also known as The law of One.
2.You shall not make for yourselves idols and false images to worship as God for therein you give your power unto the hands of evil.
3.You shall love the Lord your God with all your heart,soul and being[you must love yourself as God and God as yourself ]]4
4.You shall not use the name of God irreverently,nor use of it to swear to a falsehood.
5.Remember God's day to keep it holy.
[Every day is God's day.]
6..You shall honour your mother and father.
7.You shall not murder your fellow man.
[Killing to preserve your life or of your family is not murder]
8.You must not commit adultery
9..You must not steal.
[materially or emotionally]
10.You must covet or envy that which belongs to your neighbour.
11.You must not impose nor force your free-will upon the free-will of another.
Also known as the Law of non-interference.
12.You must not judge others,but you must wisely judge all behaviour and actions which are contrary to the laws of balance of God and The Creation.
13.As ye sow so shall ye reap.
Also called The law of Cause and Effect.
14.You must honour all commitments made in service to God,The Father,the one within.
15.You muts obey the wisdom of God for the responsible and balanced procreation of your species.
16.You must do unto others as you would have then do unto you.
Also called The Golden Rule.
17.Evil [ adversaries of God]must always wear a sign of their evilness.
[By their fruits you shall know them]
18.You must not commit the act of slavery[physical or emotional]upon any human being of Creator God.
 
The Law of The Creation.[More important than the Laws of God]
The Highest Command of The Law of Creation is;

Achieve the wisdom of knowledge inasmuch as this will enable you to wisely follow the laws of creation.

This means to seek and demand that the truth be shown to you. So you must develop the ability to discern and judge all information,actions and behaviour with self and others which go against the laws of balance given forth by God and The Creation.

This means also when information is put before your attention,you must ask The Father within to show you whether or not it is true and ask for the Father to give you the verification you need for understanding all information and situations that HE places before you THIS means you must have the courage and determination to conquer the fear,apathy,and ignorance within your altered ego to achieve the wsidom of knowledge of truth
 
bwana bujibuji nenda kachukue huyo wa jero jero,acheni kuwa chafua watu kwa kuwa wametulia
dodoma mjini kila demu anasoma udom hata yule wa la nne ukimuuliza utasikia anasoma udom HGE au PCB

kuna tabia ya machangu kujifanya wanachuo sasa yanapopata marafiki huishi vyuoni kabisa hivyo wengi hujua ni mwanafunzi wa chuo kitajwa..
 
poleni sn SJUT ,POLENI NDUGU NA JAMAA WA MAREHEMU uchunguzi lazima ufanyike kubaini walousika na wachukuliwe hatua za kisheria miaa
 
Kuna hizi tetesi nimezipata muda si mrefu kuwa, kuna Mwanafunzi wa SJUT amebakwa na kufariki. Hii imekaaje wadau?

ni kweli bro! Alikuwa mwaka wa3 Bsc nursing
anaumri wa miaka 57 aliuawa kwa kubakwa na kukatwa na kitu chenye ncha kali
vilevile sehemu ya paja na sehemu zingine za mwiliwake zimeliwa (ina semekana zimeliwa na fisi maana usiku wa tukio hilo wakazi wa karibu na eneohilo walisikia sauti za fisi)
 
nikama wanafanyiana revenge kati ya wanajamii wanaozunguka chuo na wanachuo kuna muda walilawitiwa baadhi ya wanafunz na kuibiwa vitu kama laptop na simu kwa wale ambao wanaishi mtaani again wanafunz wakauwa mwanajamii mmoja kwa kuhisi kuwa ni mmoja kati ya vibaka wanaofanyia hvyo vitendo kwahy ipo hvyo wanaihitaj ulinzi wa hali ya juu. RIP DADA
 
[h=3]MWANACHUO AUWAWA[/h]

JESHI la polisi mkoani Dodoma limeshutumiwa kwa kushindwa kuimarisha ulinzi katika baadhi ya maeneo mkoani humo hatua inayodaiwa kuchangia kuaawa kinyama kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint John Lidya Leo Mzima na watu wasiojulikana. Marehemu Lidya mwenye umri wa miaka 57 anadaiwa kuuawa siku ya jumapili hii majira ya saa nne za usiku pembezoni mwa maeneo ya chuo hicho chenye wanafunzi 5500 akiwa anarejea nyumbani baada ya masomo ya jioni.

Ni simanzi,vilio,huzuni na majonzi katika vyunga vya chuo hiki kufuatia tukio hili la kusikitisha ambalo linadaiwa kuyaweka katika mashaka na wasiwasi mkubwa maisha ya wanafunzi hawa. Licha ya kulitupia lawama jeshi la polisi baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa baada ya kufikwa na mkasa huo uliositisha safari ya maisha yake mwili wa marehemu Lidya uliharibiwa vibaya na mnyama asiyejulikana kwa kunyofolewa macho,masikio,pua,mguu na viuno vingine.

Prof.Gabriel Mwaluko ni makamu mkuu wa Chuo na Karimu Meshack ni afisa habari ambao kwa pamoja wanaelezea kilichorjiri. Kutokana na shutuma za uzembe dhidi ya jeshi hilo Kamanda wa mkoa ACP David Misime anawataka wakazi wa mkoa huo kuimarisha ulinzi shirikishi kwa lengo la kuwabaini wahalifu. Wakati huo huo Kamanda Misime anasema msako mkali umeanza wa kuwatia nguvuni waliohusika na ukatili huo ili waweze kufikishwa kwenye mikono ya sheria kwa ajili ya hukumu.

CHANZO STAR TV

duh!!huu unyama hadi lini utaendelea kwetu sisi wanafunzi wa vyuo?...rest in peace mama
 
Poleni sana,
Lakini tujuzeni ni katika mazingira gani? Maana hali halisi ya nchi yetu tumefikia mahali hata maadili ya hao wanavyuo wetu nayo saa nyingine yanatia maudhi kwani baadnhi yao huwazidi hata wale changudoa proffessionals,na hayastahili kufanywa na wasomi tarajiwa.

My take ni kwamba mnapopata nafasi za masomo ya juu basi ni vema kuzingatia kilichokupeleka pale na si vinginevyo,msipofuata hayo matokeo yake ndio haya majuto

RIP marehemu

Huyu alikuwa mama mtu mzima anajiendeleza ndo yamemkuta haya! Apumzike kwa amani!
 
Back
Top Bottom