mahunduhamza
Member
- Aug 25, 2021
- 19
- 46
Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA
(1) JIKUBALI UMEPIGANA VITA NA UMESHINDA. Aisee kumaliza miaka mi 3 au mi 4 chuo ni suala la kheri saana na kwakeri wemgi saana wameishia njiani kwa changmot mbalimbali, wew umevuka vikwazo jikubali na jitie nguvu kwa mapambano ya mtaaani, nani anasema wanachuo wanafaidi saaana!!! Chuo hustle weweeeeeew
(2) USIWE MUOGA MTAANII
"waone washhikaji zake wliosoma pamoja sasahiv wameoa na wana bodaboda safii" misemp ya aina hii iskurudishe nyuma..iskufanye ukawa mnyonge kw kujifananisha na wao et kwa sabb wametoboaa .songa mbele jipe moyo omba mungu snaaaa..jitumeee
(3) ANZA SAFARI MPYAA YA MAISHA YAKO
ebwaaaana eeeh..hongera saana kwa kumaliza chuo..unastahili pongezi ila karibu mtaani tufanye maisha..
Huku disco.sup.carry hazipo tenaaa..usiwe muogaaa.pambana pambana pambana
Imeandaliwa na mimi HAMZA MAHUNDU