Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
- Thread starter
- #61
Wewe jua tu huwa [emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji307] [emoji307] [emoji307] [emoji307] naamsha amsha!!!!unaamsha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jua tu huwa [emoji324] [emoji324] [emoji324] [emoji307] [emoji307] [emoji307] [emoji307] naamsha amsha!!!!unaamsha nini?
Hapa umechapia Mkuu Monica Lewinsky alikuwa Mali ya Bill Clinton Huyo Wa Tiger woods.. Unamjua mwenyeweAnatengeneza jina, popularity ni kitu wengi wanakihusudu sana. Hiyo ndio njia pekee ya kumfanya awe popular, kumbuka ya Monica Lewinsky, yule aliyelala na Tiger Woods.
Mkuu umesema Makongo nini..umenikumbushaa mbali sana..Babu chacha Mzee wa TotozzzWakat wenzako wako darasan wanasoma ww ulikuwa unakimbizana NA Afande Kisarika,Miraji Na Babu Chacha maporin,haya ndio matunda yake sasa.
Ndio maana niliweka "mkato" then nikaandika na yule aliyelala na Woods.Hapa umechapia Mkuu Monica Lewinsky alikuwa Mali ya Bill Clinton Huyo Wa Tiger woods.. Unamjua mwenyewe
Mimi Nina wasiwasi Na Miss Na tafuta sio wa kawaida..umeona Comments zake..yaani.Kaka yangu nakuomba umPm umwonyeshe uanaume wako pengine atacool down..Historia yake unasema wkt yupo Na mpenzi akiamini angemuoa ghafra Jamaa akaja oa manzi mwingine..so lazima awe ivyo but I believe in you utamfariji.Nitasubiri mrejesho..nimekuteua Wewe Baada ya kujua Na kumwelewa she needs Full counsellingNikisomaga comments zako huwa najikuta naamsha amsha tu !!!! don't ask me why... Fahamu tu kwamba Kuna kitu umebarikiwa ila sijui kama unajua.
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Mkuu umesema Makongo nini..umenikumbushaa mbali sana..Babu chacha Mzee wa Totozzz
Hahaha....umenikumbusha enzi hizo.Wakat wenzako wako darasan wanasoma ww ulikuwa unakimbizana NA Afande Kisarika,Miraji Na Babu Chacha maporin,haya ndio matunda yake sasa.
Nangoja ageuke mkuu...[emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji450]Mimi Nina wasiwasi Na Miss Na tafuta sio wa kawaida..umeona Comments zake..yaani.Kaka yangu nakuomba umPm umwonyeshe uanaume wako pengine atacool down..Historia yake unasema wkt yupo Na mpenzi akiamini angemuoa ghafra Jamaa akaja oa manzi mwingine..so lazima awe ivyo but I believe in you utamfariji.Nitasubiri mrejesho..nimekuteua Wewe Baada ya kujua Na kumwelewa she needs Full counselling
haa haa jamani mbavu zangu..uwiiiilabda kwa sababu hakumgegeda vizuri akaona haina haja ya hela
Umepita pale mkuu? Palikuwa kama depo.Hahaha....umenikumbusha enzi hizo.
Sijui Yuko WAP yule mzee nifunge safar siku nikamsalimie....Walinitesa sana yy na marehem Miraj (RIP)Mkuu umesema Makongo nini..umenikumbushaa mbali sana..Babu chacha Mzee wa Totozzz
Wote walisharest in peace .AmenSijui Yuko WAP yule mzee nifunge safar siku nikamsalimie....Walinitesa sana yy na marehem Miraj (RIP)
Makongo ilikuwa makongo kweli. Ukijifanya sister du, sijui kwenu mambo safi, miraji anakula na wewe sahani moja.Umepita pale mkuu? Palikuwa kama depo.
Nakumbuka siku moja Kombaa (mzee wa French) alinipa adhabu eti kisa nimemuangalia.Sijui Yuko WAP yule mzee nifunge safar siku nikamsalimie....Walinitesa sana yy na marehem Miraj (RIP)
Dah! Maisha yanaenda kasi sana RIP Babu.Wote walisharest in peace .Amen
Ahahhaha ubishoo NA usister duu ulikuwa unauacha getin ukishaingia ndan unakuwa kama askar....Babu NA Miraji waliweza kuichangamsha shule kwa kwelMakongo ilikuwa makongo kweli. Ukijifanya sister du, sijui kwenu mambo safi, miraji anakula na wewe sahani moja. Babu chacha alikuwa mzee wa mabebz.
Ahahahaha Monsieur Kombaaa...naye alikuwa ana vituko kinoma ....Kuna siku nilimkuta ofisin kwa Kipingu yuko NA mwanafunz sijui alimzingua nn....Anamwambia Kipingu amua moja abaki huyu mtoto ama mm...ahahahaha sijui waliishiaje ila jamaa lilikuwa linajiamini sana......Yuko teacher mmoja naye alikuwa mlemavu mkali wa chemistry Fm iv (nimemsahau jina) naye alikuwaga mtata kinoma....Nakumbuka siku moja Kombaa (mzee wa French) alinipa adhabu eti kisa nimemuangalia.
Na alielala Na Clinton anaitwa nani.?Anatengeneza jina, popularity ni kitu wengi wanakihusudu sana. Hiyo ndio njia pekee ya kumfanya awe popular, kumbuka ya Monica Lewinsky, yule aliyelala na Tiger Woods.