Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Sitaki kutia chumvi yoyote,

Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27

👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?
Screenshot_20250224_213240.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250224_214020.jpg
    Screenshot_20250224_214020.jpg
    228.8 KB · Views: 3
Ageuze masters yake kua hela ndio amdharau huyo jamaa. Otherwise hana chaziada zaidi ya hilo shimo. Watoto wakifata akili ya baba yakujua kusaka pesa inatosha. Bakharesa ana degree ya nini?. Wasomi wengi hapa Tz tunatamani tungeishia form four tukawa hata na mil 100 bank, huku mambo mengine yakienda kama kawaida.
 
Pumbavu kabisa, hawa ndo wasomi wa makaratasi tunao wategemea waje walikomboe hili taifa.
 
Back
Top Bottom