Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

Sitaki kutia chumvi yoyote,

Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27

👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?View attachment 3248332
Kuandika kwenyewe hawezi je hiyo masters kaipataje

Tayali =tayari

Yaani nawaona vilaza wawili hapo muomba ushauri na mtoa ushauri
 
Hakuna mke hapo, mshauri huyo jamaa amuache haraka....atamletea ustaa kwenye ndoa.
Huku kwenye ndoa tunavua vitu vyote, tunavua elimu, cheo, uzuri, familia tunazotokea n.k....tunabakisha uuke na uumee.....
 
Kuandika kwenyewe hawezi je hiyo masters kaipataje

Tayali =tayari

Yaani nawaona vilaza wawili hapo muomba ushauri na mtoa ushauri
Asante kwa kuniona kilaza wewe mwenye "akili" Nilishajifunza kutokujibu watu kwa mihemko👍
 
Kumbe demu mwenyewe Skaila?
Kifupiii and too dark 🌑 akaolewe na vibwengo wenzake uko
 
Kama shida ni Elimu aende akaolewe na Walimu wa shule ya msingi Wengi Wana masters Wengi tu saiv sio insue kivile Tena mtaaluma wa shule ana master halafu MKUU WA SHULE ANA DIPLOMA THIS IS BONGO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani we jamaa umepiga mulemule .Kuna shule x ya sekondary mkuu anadiploma halafu walimu wa kawaida wana digrii sasa mwamba anatawala kibabe sana yani muda wote akiona hata mmekaa kikundi mnapiga stori yeye anahisi mnamsema yani ni tabu tupu
 
Sitaki kutia chumvi yoyote,

Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27

👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?View attachment 3248332
Sio mbaya binti kuwa na ndoto za kuolewa na msomi ila ndoa ni zaidi ya hayo....Elon Musk aliwahi sema: "I hate when people confuse education with intelligence. You can have a bachelor's degree and still be an idiot.".. Azingatie zaidi uwezo wa kijana kupambanua mambo, hekima yake kwenye mambo kadha wa kadha na afanye sana ibada Mungu atamuonesha.
 
Kitanda usichokilalia.... mi namwelewa. Kuna gap kubwa sana hapo hata katika maisha yao ya kila siku. Binafsi siwezi kuolewa naye, I am sorry. Maisha ni zaidi ya pesa.
 
Haya mambo ni kuyaacha km yalivyo, kila mtu afanye kile moyo unataka. Lol
 
Sitaki kutia chumvi yoyote,

Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27

👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?View attachment 3248332
Kanaonekana ni ka jeuri, kajuaji, kana ishi maisha ya sinema.
 
Back
Top Bottom