Mwanadada ana masters logistics mpenzi wake ni form four failure Ila mwenye pesa anaona kama hawaendani

Kama shida ni Elimu aende akaolewe na Walimu wa shule ya msingi Wengi Wana masters Wengi tu saiv sio insue kivile Tena mtaaluma wa shule ana master halafu MKUU WA SHULE ANA DIPLOMA THIS IS BONGO
 
Issue ya mapenzi haiangalii, elimu status wala kabila....... Mshamba wa wapi huyo ety masters ya ulaya! Ndo ipoje angebaki huko akalea vizee vya kizungu kama rahisi!

Hawa ndo hujakaa sawa watataka talaka em jamaa aoe la saba b! Hakuna mtu hapo
 
Akifika 37 atatafuta anayepumua.
😀😀 kuna K mmoja ana 37yrs kanitishia kuwa hakuna anacholazimisha kama ninaona hanifai nimwambie. Hii ni baada ya mimi kutokuwa nampigia na kumtumia msg hata mara 2 kwa siku. Huwa namcheki jioni tu. Wakifika huo umri wanakuwa wanapata moto balaa.
 
😀😀
 
WaTz ni limbukeni wa elimu. Atafute anayefikiri anaendana naye. Mahusiano ni kuelewana
 
Sasa kama amesoma na hana uwezo wa kutengeneza fedha km huyo la saba B...hiyo elimu ni zile zile za kina kabudi kutegemea teuzi....pour brain
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mapenzi siku zote yakiunganishwa na Elimu, pesa, sijui chemistry, tayar hapo hakuna kitu, swali je amejua Jana kwamba huyo jamaa ni form 4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…