Multaza Hr
Member
- Jan 10, 2025
- 83
- 182
Kuandika kwenyewe hawezi je hiyo masters kaipatajeSitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27
👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?View attachment 3248332
Asante kwa kuniona kilaza wewe mwenye "akili" Nilishajifunza kutokujibu watu kwa mihemko👍Kuandika kwenyewe hawezi je hiyo masters kaipataje
Tayali =tayari
Yaani nawaona vilaza wawili hapo muomba ushauri na mtoa ushauri
Vitu gani mkuu🤔Kuna vitu havina uhalisia.
Hizo text mkuu.Vitu gani mkuu🤔
Ooh Sawa mkuu ni Sawa pia kwa mawazo yakoHizo text mkuu.
Pamoja bossOoh Sawa mkuu ni Sawa pia kwa mawazo yako
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani we jamaa umepiga mulemule .Kuna shule x ya sekondary mkuu anadiploma halafu walimu wa kawaida wana digrii sasa mwamba anatawala kibabe sana yani muda wote akiona hata mmekaa kikundi mnapiga stori yeye anahisi mnamsema yani ni tabu tupuKama shida ni Elimu aende akaolewe na Walimu wa shule ya msingi Wengi Wana masters Wengi tu saiv sio insue kivile Tena mtaaluma wa shule ana master halafu MKUU WA SHULE ANA DIPLOMA THIS IS BONGO
Sio mbaya binti kuwa na ndoto za kuolewa na msomi ila ndoa ni zaidi ya hayo....Elon Musk aliwahi sema: "I hate when people confuse education with intelligence. You can have a bachelor's degree and still be an idiot.".. Azingatie zaidi uwezo wa kijana kupambanua mambo, hekima yake kwenye mambo kadha wa kadha na afanye sana ibada Mungu atamuonesha.Sitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27
👉Vipi amuache jamaa akatafute wasomi wenzie?View attachment 3248332
Kanaonekana ni ka jeuri, kajuaji, kana ishi maisha ya sinema.Sitaki kutia chumvi yoyote,