Mwanadada Cherry Hollister na mumewe wamepatikana wakiwa salama

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo.

Soma pia PostGE2025 - Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

Cherry alilazimika kuzima simu zake zote na kupoteza kabisa mawasiliano na ndugu zake kwani agizo la watu waliokwenda kwakwe ilikuwa ni kutoa roho yake yeye na mumewe.

Ninathibitishia kwenu Cherry na mumewe wapo salama na atakuja hewani Kesho kutwambia ilikuwaje na amepitia magumu gani, mimi nilivyomsikiliza stori yake imeumiza sana Moyo wangu, kweli watekaji wanapashwa kukomeshwa NI mashetani.

1768135654972.png
 
Huyu dada nampenda ana sauti fulani ya kushawishi au ya Mamlaka.
 
Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo.

Soma pia PostGE2025 - Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

Cherry alilazimika kuzima simu zake zote na kupoteza kabisa mawasiliano na ndugu zake kwani agizo la watu waliokwenda kwakwe ilikuwa ni kutoa roho yake yeye na mumewe.

Ninathibitishia kwenu Cherry na mumewe wapo salama na atakuja hewani Kesho kutwambia ilikuwaje na amepitia magumu gani, mimi nilivyomsikiliza stori yake imeumiza sana Moyo wangu, kweli watekaji wanapashwa kukomeshwa NI mashetani.

Wanawake mkijuana ninyi mnaamini wote tunawajua.
 
Sasa wanamteka mpaka Mwathirika wa UKIMWI ili wagundue nini
Huyu akubali wamteke halafu akawang'ate ng'ate wote awaambukize HIV AIDS
 
drama queen tu anatafuta kiki mitandaoni
hana lolote, njaa tu zinawasumbua hawa wakikosa ushawawishi wanatengeneza tukio
 
Huyu hana njaa kwasababu ni Mwathirika wa UKIMWI alyejitangaza rasmi na ana Wafadhili wengi kutoka USA na UK hivi,
Anaishi na Mumewe kwa miaka sasa ambaye hana Maambukizi Ya HIV
 
Back
Top Bottom