Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo.
Soma pia PostGE2025 - Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa
Cherry alilazimika kuzima simu zake zote na kupoteza kabisa mawasiliano na ndugu zake kwani agizo la watu waliokwenda kwakwe ilikuwa ni kutoa roho yake yeye na mumewe.
Ninathibitishia kwenu Cherry na mumewe wapo salama na atakuja hewani Kesho kutwambia ilikuwaje na amepitia magumu gani, mimi nilivyomsikiliza stori yake imeumiza sana Moyo wangu, kweli watekaji wanapashwa kukomeshwa NI mashetani.
Huyu ndio yule anadai ni HIV positive?Huyu dada nampenda ana sauti fulani ya kushawishi au ya Mamlaka.
Yalianzishwa huku Zanzibar na mkaona hayawahusu , sasa yameshavuka bahari labda mtaelewa ubaya wa kutokemea maovu.Ndio nani huko daslama,anyway pole yake wahuni wa kijani watatumaliza tuwechonjo.
CCM ni mashetani hawajali kabisa binadamuSasa wanamteka mpaka Mwadhirika wa UKIMWI ili wagundue nini
Huyu akubali wamteke halafu akawang'ate ng'ate wote awaambukize HIV AIDS
Huyu hana njaa kwasababu ni Mwathirika wa UKIMWI alyejitangaza rasmi na ana Wafadhili wengi kutoka USA na UK hivi,drama queen tu anatafuta kiki mitandaoni
hana lolote, njaa tu zinawasumbua hawa wakikosa ushawawishi wanatengeneza tukio
Ndio πππHuyu ndio yule anadai ni HIV positive?
Nasikia umrembo kuliko huyu dadadrama queen tu anatafuta kiki mitandaoni
hana lolote, njaa tu zinawasumbua hawa wakikosa ushawawishi wanatengeneza tukio
***** unawaza kurembuka tuNasikia umrembo kuliko huyu dada